Nabii SUGUYE atia SAINI leso za WAUMINI Kanisani
Posted by
March 26, 2020
Leave a comment
Nabii Nicolaus Suguye akisaini moja ya Kitambaa cha muumini wa Kanisa hilo Na Mwandishi wetu, WRM KATIKA jambo lililowashangaza wengi, ndani ya Kanisa la WRM lillopo Kivule Matembele ya Pili, Ukonga, jijini Dar es Salaam, Kiongozi na Msimamizi Mkuu wa huduma hiyo, Nabii Nicolaus Suguye ameendesha Ibada ya kutia saini...