Our Blog

Nabii Suguye akiwahubiria maelfu ya waumini waliohudhuria Ibada hiyo

Akifundisha katika Ibada yo alisema kupitia tendo hilo la imani iwe fahari kwao kujua kuwa, kuna umuhimu wa kujitakatsa na kuwa katika mstari ule Neno la Mungu linatufundisha tupate kuthibitishwa nakuwa na hakika ya kupokea yale yote tuyaombayo kwa Mungu

“Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.” Waebrania 11:1

“Kupitia saini hii nakutabiria ukafanikiwe katika kila kitu utakachokwenda kukifanya kwaajili ya Utukufu wa Mungu, katika Jina la Yesu Kristo.” Alisema Nabii Suguye wakati wa ibada hiyo.